Bsc in doctor of medicine cuhas -Bugando ,st Francis- ifakara,kcmc -kilimanjaro

davyventure the great

Senior Member
Joined
Dec 2, 2023
Posts
150
Reaction score
200
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
 
Hakuna Bachelor of science in MD dogo.
Inaitwa doctor of medicine(MD) tuu bac na chuo bingwa ni MUHAS ila kwa ilivoandika hapo naona bora ni CUHAS na KCMC
 
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
Ufundishaji
1.KCMC
2.Bugando
3.St Francis
Kutoa GPA nzuri
1.KCMC
2.St Francis
3.Bugando
Ada nafuu
1.St Francis
2.KCMC
3.Bugando
 
1.In walimu wabobezi wengi
2.Mfumo wao mzuri,wa kudelivery syllabus
3.walimu Wana attitude nzuri juu ya mafanikio ya mwananfunzi
4.in collaboration nyingi ma vyuo vya nje
Thank you so much broh for your description 🙏🙏
 
Elimu ya bongo ni ile ile...hakuna utofauti muhimu ujitume tu. Vilaza na changamoto hazikosekani vyote vyote.
 
Ni kweli hyo Kila sehem ipo but tunazungumzia kuhusu mazingira ya ufundishaji kwa wanaojielewa factor zingne tumeziexclude ..
 
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
Point of correction : Hakuna kitu kiitwacho Bachelor of science(BSc) in doctor of medicine bali kuna Doctor of Medicine (MD)
 
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
Acha matusi na dharau wewe, MD ni professional degree, siyo bachelor degree.
 
Back
Top Bottom