davyventure the great
Senior Member
- Dec 2, 2023
- 150
- 200
UfundishajiNapenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
Shukran mkuu kwahyo kcmc na cuhas kunashule kuliko st Francis ifakara..Hakuna Bachelor of science in MD dogo.
Inaitwa doctor of medicine(MD) tuu bac na chuo bingwa ni MUHAS ila kwa ilivoandika hapo naona bora ni CUHAS na KCMC
Shukran sana mkuu lakn kwann kcmc iko juu kiufundishaji than cuhas mkuu ...Ufundishaji
1.KCMC
2.Bugando
3.St Francis
Kutoa GPA nzuri
1.KCMC
2.St Francis
3.Bugando
Ada nafuu
1.St Francis
2.KCMC
3.Bugando
Unataka kusoma kweli, au unafanya utafiti? Mzee wa BSc. MD😀😀Shukran sana mkuu lakn kwann kcmc iko juu kiufundishaji than cuhas mkuu ...
That goes without saying.Shukran mkuu kwahyo kcmc na cuhas kunashule kuliko st Francis ifakara..
1.In walimu wabobezi wengiShukran sana mkuu lakn kwann kcmc iko juu kiufundishaji than cuhas mkuu ...
Nafanya utafiti kwanza kaka mkubwaa 🙌🙌Sema neno basUnataka kusoma kweli, au unafanya utafiti? Mzee wa BSc. MD😀😀
Thank you so much broh for your description 🙏🙏1.In walimu wabobezi wengi
2.Mfumo wao mzuri,wa kudelivery syllabus
3.walimu Wana attitude nzuri juu ya mafanikio ya mwananfunzi
4.in collaboration nyingi ma vyuo vya nje
Wap mkuu !?Hakuna shule hapo
Ni kweli hyo Kila sehem ipo but tunazungumzia kuhusu mazingira ya ufundishaji kwa wanaojielewa factor zingne tumeziexclude ..Elimu ya bongo ni ile ile...hakuna utofauti muhimu ujitume tu. Vilaza na changamoto hazikosekani vyote vyote.
Point of correction : Hakuna kitu kiitwacho Bachelor of science(BSc) in doctor of medicine bali kuna Doctor of Medicine (MD)Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
Acha matusi na dharau wewe, MD ni professional degree, siyo bachelor degree.Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
Sawa mkuu hyo imeshaeleweka..Acha matusi na dharau wewe, MD ni professional degree, siyo bachelor degree.