BSc. in Electronics

ni nzuru sana kwani ni 2 in,,kwa hapa tz nazani inapatika st joseph pekee
 
ni nzuru sana kwani ni 2 in,,kwa hapa tz nazani inapatika st joseph pekee

St Joseph hakuna kozi kama hiyo,hiyo iko udsm,ya st Joseph haitwi bachelor of science,inaitwa bachelor of engineering in Electronics and Communication(ECE)
 
ni nzuru sana kwani ni 2 in,,kwa hapa tz nazani inapatika st joseph pekee

Acha uongo wewe, pale mliman wanatoa nn, si mliman ipo bsc in electronic science and commucation,unataka kudanganya watu eti ipo st joseph pekee,then cku hz ajira zake ngumu balaa
 
jamani samahani nilikosea nazani,,ni st joseph pekee kwa tanzania wanaotoa bachelor in engineering na sio bachelor in science
 
I think st. Joseph ndo wanatoa hyo but unataka kuifahamu kivip....fafanua
 
Wakubwa vipi hiyo course INA ajira naomba ushauri wenu ndo nliochaguliwa udsm
 
Vipi kuhusu course ya B.s in electronic science and communication inaajira wadau naomba kwa anaefahamu anijuze
 
Vipi kuhusu course ya B.s in electronic science and communication inaajira wadau naomba kwa anaefahamu anijuze


Haina ajira ya moja kwa moja

Ni bahati yako,kupigiwa mapande,kujiajiri n.k

Ajira za moja kwa moja zipo kwa walimu,na kama hicho ndicho ukitakacho bado hujachelewa,
 
Wadau msaada kuhusu soko la ajira kwa hii cours.......
 
Soko lake limechukuliwa na mtu mwenye bsc in electrical engineering anafanya anafanya kazi zote mf. elecronics,computer,It.
 
Kama unakitu special kuhusiana na hayo mambo au ka unandugu mwenye kampuni nenda kasome itakulipa....au ka vipi we jilipue tu
 
Hii kozi kwa nchi yetu bado haijakaa vema katika soko la ajira unless una interest ya kuwa lecturer. bora usome applied sciences i.e. Engineering. Frankly speaking, kuna mtu wangu aliperform vizuri saaana A-levels akachaguliwa kusoma kozi hii, lakini after graduation alilost sana mpaka alipoamua kwenda kusomea masuala ya computer kwa level ya masters ndio kaanza kupata michongo mtaani. mimi simshauri mtu asome hii kozi kwa matarajio ya ajira bongo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…