Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
ni ya chuo gani?Habari zenu wanajamvi.
Katika kuhangaika na second application nimeangukia fani hiyo na kuandikiwa umechaguliwa. Vip wadau wa hiyo kitu ipoje kwa ujumla wake?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ata rafik angu sasa iv nimemuaplai iyo ki2
ni ya chuo gani?
Kuna MTU namfanyia hyo second lakini nikichagua course kwenye list alaf nacomfirm inaniambia cjatik check box kukubali conditions sasa ciioni hiyo check box naomba msaada
nasikia wapo vizuri......UDOM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
UDOM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Karibu dogo... College inaitwa Infomatics... Nitakupokea ila nimekutangulia miaka 2 coz hiyohoyo
Habar zenu wakubwa,,kama kichwa cha habari kinavyoonekana naombeni kujua kwamba kati ya kozi hizo hapo juu ipi inaunafuu kwenye soko la ajira??
Habar zenu wakubwa,,kama kichwa cha habari kinavyoonekana naombeni kujua kwamba kati ya kozi hizo hapo juu ipi inaunafuu kwenye soko la ajira??
Njoo computer science bwana Mdogo ina uwanja mpana yaan!
nipe option zingine..nikusaidie kama hakuna fanya tu hiyo software engineering