BSc. in Software Eng vs BSc. in Computer Science

Ila uwe n mawazo y kujiajir,iko pouwa cha msingi kuwa mbunifu
 
Hivi na hii inahusu nini bcs of science in bussiness infomation system yaan unasomea nn?

hiyo haina tofaut sana na I T AU COMPUTER SCIENCE kitakachoongezeka kwamba watakuchanganyia module chache za biasha ila kukupa basics za biashara
 
hiyo haina tofaut sana na I T AU COMPUTER SCIENCE kitakachoongezeka kwamba watakuchanganyia module chache za biasha ila kukupa basics za biashara

Ajira zake mtaani vp kuna matumain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…