Bsc. In veterinary medicine

Mkuu ZE DUDUZ vip kuhusu swala la ajira na mshahara kwa ujumla
 
Inaitwa Bachelor of Vetenary Medicine(BVM) hakuna hiyo science mleta mada aliyoiandika
 
Mbona hujamwambia kua mnasoma Minyoo elfu mbili, sisimizi elf tatu, kupe mia nane, papasi mia sita na chawa elf moja?? just saying.
kwahali hii hata ungekuwa nani angetishika tu
 
watu wa eng watatokeleza matokeo ya udzm sua udom dit yakitokaaaa..... eeeh bhan usimtishe dogo bhana
 
ajira iko njenje.... ukimalizia tu..unakabidhiw wilaya... na pia unaeza ukajiajiriii kwa kuanzisha clinic yako... pia waweza fungua duka la dawa za mifugo.... ukiachilia mbaliiii unaeza anzisha ranch yako binafsiii asikwambie mtu hapo utapiga pesa mpaka bhasiiiiiiii
 
nahitajikujua soko la ajira na changamoto zake kiujumla



Umenichanganya uliposema Faculty ya Veterinary Medicine, Maana hiyo Faculty pale SUA inatoa kozi mbalimbali ikiwepo Veterinary Medicine yenyewe ndiyo maana nikawasijakuelewa vizuri.

Well speaking of BVM ni kozi ngumu sana kwa mujibu wa waliowahi kuisoma hiyo kozi na watu wanadisco kila kukicha ukileta masikhara. Ajira zake serikalini na sekta binafsi ni za wazi sana kwa kuwa hakuna competition kubwa maana wataalamu ni wachache sana. Pia wahitimu wa BVM wapo waliojiendeleza shahada ya uzamili (Masters) kwenye fani ya Human Anatomy () pale muhimbili na wakamaliza na sasa ni madaktari wa binadamu wapo mahospitalini wanapiga mzigo kama madaktari wengine wa MD.

Mishahara VMD kwa scale ya serikali ipo juu kidogo kuliko scale ya kawaida ingawa haifikii ile ya MD. So ni nzuri tu inategemea na wewe uchapalikaji wako.
 

Acha UONGO kaka.....kama hujasoma MD degree ya kwanza hujagusa mgonjwa hata usome phd ya nini....kuna BVM wanafundisha human anatomy baada ya kujiendeleza au masomo mengine ila kamwe hawezi kutibu KAMWE (kwa msisitizo)
 
Acha UONGO kaka.....kama hujasoma MD degree ya kwanza hujagusa mgonjwa hata usome phd ya nini....kuna BVM wanafundisha human anatomy baada ya kujiendeleza au masomo mengine ila kamwe hawezi kutibu KAMWE (kwa msisitizo)



Mkuu basi kunamtu kaniongopea, alisoma masters ya human anatomy hapo MUHAS na alikuwa na BVM na siku za hivi karibuni kaniambia anapiga mzigo hospitalini na mshahara wa kufa mtu bahati mbaya mimi nipo maboxini hivyo sijui kinachoendlea huko lakini kaniambia yupo hospitali private anakula vichwa kama kawa.


Sasa hapo kwenye kufundisha hao madaktari wa BVM inakuwa wanafundisha theory tu kwenye practical mawodini hawaruhusiwi au inakuwaje?
 

Kuna baadhi ya masomo wanaweza kufundisha hasa biomedical sciences kama anatomy baada ya kusoma Msc za anatomy, physiology ,biochemisty nk ila hawafundishi masomo ya clinical ambayo ndio utabibu wenyewe....hawawezi kutibu kabisa....jamaa yako atakuwa kakudanganya au labda hujamuelewa labda anafundisha chuo cha tiba ila private
 
Bvm ni more than md jamani,inawezekana kabisa bvm akamtibu m2 na pale sua kuna kozi inayowadail nursing,md,bvm na watu wa maabara na biologist hata muhas inawezekana hawa wa2 kutibu binadamu msibishe
 
duh! Umenikata maini kabisaaa ila sidhani kama mshahara inafanana hebu prove it kwa kutoa ushahidi.

Dogo wasikutisheee aaaghhhhhiii!!! Kama utaajiriwa mshahara wake mzuriii! Mazingira ya kazi wakikuudhi unapiga kivyako vyako. Yaani ukikaa vizuri utakuwa umetoka. Fursa nje ya nchi ndo usiseme. Kuhusu ugumu haijalishi kwani wanaosoma hiyo kozi ni mizimu? Si ni watu kama sisi? Twende dogo langu tukapige kitu! Hivi wilayani kwenu ulishawasikia ma-Dr wa mifugo wangapi? TAFAKARI, CHUKUA HATUA! Halafu jamani hatuiti BSc. in Vet. Medicine bali inaitwa Bachelor of Vet. Medicine (BVM).
 



Shukran kwa ufafanuzi mkuu.
 
Bvm ni more than md jamani,inawezekana kabisa bvm akamtibu m2 na pale sua kuna kozi inayowadail nursing,md,bvm na watu wa maabara na biologist hata muhas inawezekana hawa wa2 kutibu binadamu msibishe

leta mfano hata mmoja wa BVM anayetibu hapa tanzania au hata nje ya nchi....mfano mmoja tu ili ubishi uishe nakupa muda mpaka kesho jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…