L Logist Senior Member Joined Aug 13, 2014 Posts 158 Reaction score 35 Aug 26, 2014 #1 Vipi kuhusu hii fani chuo kikuu cha dar es salaam inamvuto au ndio kusubiri?
Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,710 Reaction score 5,054 Aug 27, 2014 #2 Logist said: Vipi kuhusu hii fani chuo kikuu cha dar es salaam inamvuto au ndio kusubiri? Click to expand... Ukimaliza Chuo utasugua kijiwe hadi ------ yawe kama ya nyani. ajira yake imebana sana, na sijui kama inaweza kukuandaa kujiajiri.
Logist said: Vipi kuhusu hii fani chuo kikuu cha dar es salaam inamvuto au ndio kusubiri? Click to expand... Ukimaliza Chuo utasugua kijiwe hadi ------ yawe kama ya nyani. ajira yake imebana sana, na sijui kama inaweza kukuandaa kujiajiri.