BSS msimu huu majaji wana kazi ngumu sana

BSS msimu huu majaji wana kazi ngumu sana

Wape kwanza vya zamani ili wajue kipi kipya wakuambie..!!!! Acha tabia ya kitu usichokipenda wewe basi kila mtu asikipende..!!
Hakuna mahali nimeonesha kuichukia hiyo BSS, nimeuliza tu, maana ya kitambo sana, zama za muziki na vyombo vya habari zimebadilika mnoo.
Mara ya mwisho kuifuatilia nimesema ni kama miaka 15 iliyopita (mwenye majibu ya kipi kipya) ataanzia kujua ni wapi niliisha.
Nimehoji kujua kama kuna mtu anaifuatilia, maana sioni vibe mitaani au kwenye media kuizungumzia.
 
Kumbe bado ipo!! Kitambo sana, ya mwisho kufuatilia ni ile ya akiba Walter Chilambo. Eti hadi kura nilimpigiaga🙆‍♂️🙆‍♂️

Inaonyeshwa wapi?
 
Back
Top Bottom