bst natural herb clinic/hospital

bst natural herb clinic/hospital

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
wana jamvi, hivi hapa mjini kuna clinic ngapi za asili? na je ipi wanatoa huduma nzuri?
asanteni
 
Clinic zipo nyingi sana hapa mjini,za kweli namajina makubwa na zenye utapeli ndani yake na zisizo na majina ila zina ubora uliotukuka,jaribu Eden Saniturium Clinic ipo Stop Over Kimara.
 
asante stephot
 
Back
Top Bottom