Bucha za nyamapori zilizoasisiwa na Kigwangalla zimeishia wapi?

Bucha za nyamapori zilizoasisiwa na Kigwangalla zimeishia wapi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho.

Je, hizo bucha bado zipo?

Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
 
Mkuu kwa Dodoma, Bucha la Nyama Pori lipo Soko la Ndugai. Unapata kitoeo safi cha Mnyamapori.
 
Back
Top Bottom