johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanyama wote wamehamishiwa DubaiDr. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho...
siyo sungura tope !!Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
Hahaha........!siyo sungura tope !!
Kwa Dom hawakawii kukuzia nyama ya Punda wale.Mkuu kwa Dodoma, Bucha la Nyama Pori lipo Soko la Ndugai. Unapata kitoeo safi cha Mnyamapori.
HATA YEYE HAJUI KAMA KULIKUWA NA MPANGO HUO LABDA ATEULIWE KWANZA KUWA WAZIRI wa MALI ASILIKigwangwala si yupo, tusubiri majibu
Kwani yeye anasemaje?Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho.
Je, hizo bucha bado zipo?
Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.