E Evesta New Member Joined Apr 2, 2018 Posts 1 Reaction score 0 Jul 28, 2026 #1 Halmashauri ya BUCHOSA, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema tuandike barua na Kila tukiandika hakuna majibu yanayorudi.
Halmashauri ya BUCHOSA, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema tuandike barua na Kila tukiandika hakuna majibu yanayorudi.