Buckets....

Buckets....

Walinzi bata kwetu ni kiulizo, yaani tupo klabu lakin kaz ni kumshikia binti mkoba akiingia chooni na kuwaelekeza wenye magari pa kupaki.
Na kuangalia kama tumebeba bunduki na zile detector zenu
 
Hio bar maarufu sana huwa kuna nini?
Hua kunakua na events live mbalimbali za viuno na mambo ya chumbani.

Mfano Baikoko, Kanga Moko walianzia hapo, Kibao Kata, na mengine mengine
 
Hua kunakua na events live mbalimbali za viuno na mambo ya chumbani.

Mfano Baikoko, Kanga Moko walianzia hapo, Kibao Kata, na mengine mengine
Aisee.....
 
Back
Top Bottom