Buckets....

Nataka kujitahidi niache kabisa,natafuta sehemu wanpofanya castration ya madume ya binadamu niende nikafanye ili nisisimamishe kabisa.
Mwanaume Wa kiafrika bora akose pesa ila machine ifanye kazi
 
Mwanaume Wa kiafrika bora akose pesa ila machine ifanye kazi
Sio kwa miaka hii,machine ikiwa active sana ni mateso..nahisi machine ikiwa inactive wanaume wakiafrika tunauwezo mkubwa sana wa kuendeleza bara letu kwa speed zaidi ya China.
 
Reactions: ywf
Unauliza masaa 10 baadae? Mimi huwa siku zote navaa checkered shirt na jeans au chino hivyo vitabadilika rangi tu.
Checkered shirt ndio ikoje mkuu hebu nitoe ushamba kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…