Budget Gaming PC build

Kutumi adapter zile za AliExpress vipi?
Hazikawii kuua mobo hizo,

kwa aliexpress/ebay zipo hizi psu, sema bei imechangamka na usafiri ni kama 150K hivi.

Ndio maana nikaulizia Machinga kama unaweza pata,
 
Hazikawii kuua mobo hizo,

kwa aliexpress/ebay zipo hizi psu, sema bei imechangamka na usafiri ni kama 150K hivi.

Ndio maana nikaulizia Machinga kama unaweza pata,
Poa embu jaribu kumpigia au utembelee pale machinga waweza bahatisha.
 
Ila najipanga nije ni build from scratch tu.
Na plani niende na Ryzen 5 5600G kama sijakosea na rx 5500 XT.
Ila plani nyingine ni kutafuta i5 10th gen then ni niweke GPU. hapo ndi sjajua nishike njia ipi inaweza kuwa njema in terms of price to performance ratio
 
Option nyengine ya maana ni kutumia i3 gen ya 12, hii ndio equivalent ya 5600G perfomance wise na ulaji umeme, uhakika chini ya watts 60 upande wa cpu.

Kwa China hii unaweza ipata Chini ya laki 5 ikiwa haina Gpu, sema components za kichina mobo kama Maxsun, sababu ni lowend cpu haina neno sana.


Hii yuan 1500


Hii yuan 1300

Roughly kama 470,000 kwa 540,000, bado usafiri, kodi na mambo mengine ongeza kama 150,000 hivi.
 
Asante mkuu nta consider Hili.
 
 
Hizi rx 580 naanza kuhisi zina shida. Nina kama siku tatu sikuwasha pc. Sasa jana ndio nikataka kucheza game la dying light 2. Mwanzo likawa kama haliko smooth.. wakati awali lilikuwa fresh tu.

Nikajaribu fc24 yaani kufunguka tu ikawaa shida hata lilipo funguka kujaribu kucheza ndio likaleta hiyo error. Nikapunguza quality kwa kuweka low likakubali.
Nikacheza world war Z. Game ukicheza kidogo linajitoa.

Shida yaweza kuwa nini mkuu na driver ziko uptodate.
 
Kwenye forums nyingi naona wengi wamezi undervolt, jaribu uone.
 
Gpuz niliweka toka nilivyoinunua inàsoma maelezo yote fresh.

Hiyo error na mimi ndio nimeshangaa kwa 8gb kwa kweli haiingii akilini.

.driver nilidownload official site ya amd.

Na ni ya tar 20 February hawajatoa update nyingine.
 
Gpuz niliweka toka nilivyoinunua inàsoma maelezo yote fresh.

Hiyo error na mimi ndio nimeshangaa kwa 8gb kwa kweli haiingii akilini.

.driver nilidownload official site ya amd.

Na ni ya tar 20 February hawajatoa update nyingine.
Kama Gpu Z ilisoma vizuri kuna possibility kubwa ni driver issue.

Naona online wanarecomend driver ya zamani 22.8.1 kama ya sasa ina crash.

Sema naona kama site ya amd ipo Chini kwangu, link hii

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…