Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sony wanao uzoefu na masuala ya picha ya muda mrefu.Wakuu kwema?
Nina budget ya 1.2M nahitaji TV isiyozidi 55 inches. Chaguo lipi zuri kati ya Sony, LG, Samsung, TCL na Hisense.
Ikipendeza na Model pia
Sony nawakubali kwa sound tu, kwa picha lg na samsung wako kwenye ligi yao tofauti kabisaSony wanao uzoefu na masuala ya picha ya muda mrefu.
Mi ningetafuta Sony ya bajeti yako tu
Katika yote hapo mpya unaweza pata TCL ama Hisense.Wakuu kwema?
Nina budget ya 1.2M nahitaji TV isiyozidi 55 inches. Chaguo lipi zuri kati ya Sony, LG, Samsung, TCL na Hisense.
Ikipendeza na Model pia
Kaanzishe biashara na hio hela achana na TVWakuu kwema?
Nina budget ya 1.2M nahitaji TV isiyozidi 55 inches. Chaguo lipi zuri kati ya Sony, LG, Samsung, TCL na Hisense.
Ikipendeza na Model pia
😁😂😂Startimes
Pengine hiyo pesa ni faida ya biashara anazofanyaKaanzishe biashara na hio hela achana na TV
Kuna mtu ambaye anapata 1.2m halafu yote anunulie TV? Hio ni upgrade obvious unatoka kwenye 32" kwenda mbele na standard ya sasa ni 55" au zaidi.Kaanzishe biashara na hio hela achana na TV
Zipo vzr ila inakua limited lazima utumie kadi
Mnapangia watu matumizi ya pesa zao sio.Kaanzishe biashara na hio hela achana na TV
Ni nzuri mkuu,hudumu sana