Budget ya Kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria (2019-2020)

Budget ya Kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria (2019-2020)

Mzee wa Mtaa

Member
Joined
May 29, 2019
Posts
37
Reaction score
77
Nigeria ni nchi iliyo juu sana kiuchumi hapa Africa
Budget yake ni $29 bln

GDP per 2017
1126261

Budget ya Kenya
1126263
 
What are top 5 biggest projects of Kenya for the coming year?
 
Ma-gap kama haya ndio hua yananifanya niione CCM ni group la monkeys!

Monkeys are always monkeys!
Ahaa ila nyie wenye budget kubwa ilhali mna wafa njaa wengi sio monkeys ?
Poleni sana hata sielewi hii budget kubwa yaganyiwa nn ilhali mna wafa njaa wengi madaktari kugoma na miradi yenu kuzorota.
 
mbona ipo hivyo muda tu ni kama vile uchumi wa lagos ulivyo mkubwa kuliko wa Kenya kama nchi.
 
Ahaa ila nyie wenye budget kubwa ilhali mna wafa njaa wengi sio monkeys ?
Poleni sana hata sielewi hii budget kubwa yaganyiwa nn ilhali mna wafa njaa wengi madaktari kugoma na miradi yenu kuzorota.
Umasikini uliotopea halafu unaona hakuna anaelala njaa ujue huo ndio umasikini mbaya kabisa..

Askofu Bagonza anauita "umasikini wa kistaarabu"!

Halafu by the way mimi Mtanzania....

Maswahibu tunayopata nchi hii ni totally on CCM!

Siku tunashika mapanga tunaingia barabarani ndio wataelewa!

Tunawachora tu!
 
Tatizo nini haswa, kukoza kazi au hali ya uchumi?
Mkuu

Uchumi ni ZERO!

Demokrasia ni ZERO!

Rule of Law ni ZERO!

Constitution ni ZERO!

Institutions are all ZERO!

Na matatizo yote haya ni hili jitu linaitwa CCM....I wish siku naamka asubuhi nakuta CCM imeyeyuka!
 
Mkuu, ukiikosoa CCM utapewa uraia wa Kenya wewe! Huna uzalendo eti 😂
 
Mkuu, ukiikosoa CCM utapewa uraia wa Kenya wewe! Huna uzalendo eti 😂
Ndivyo walivyo CCM.....wakiona umewaambia ukweli na hawana majibu wanaanza kukuita wewe Mkenya sio Mtanzania as if kua Mtanzania halafu huna chakula na maisha mazuri ni sifa!

These CCM people are head cases....tumeshakaa nao miaka 58 tangu tupate uhuru 1961!

Na wanazidi kutuumiza!

Nikichoka sana siku napakia ndege naenda kukaa Syria kabisa!
 
mbona ipo hivyo muda tu ni kama vile uchumi wa lagos ulivyo mkubwa kuliko wa Kenya kama nchi.
Vipi umesahsu kwamba uchumi wa Nairobi ni kubwa kuliko wa Tanzania?
 
Vipi umesahsu kwamba uchumi wa Nairobi ni kubwa kuliko wa Tanzania?

Tanzania haikuwepo kwenye comparison hivyo, sijasahau kitu ila ni wewe ambae umeingiza kitu kilichokuwa nje ya focus ya mada.
 
Ndivyo walivyo CCM.....wakiona umewaambia ukweli na hawana majibu wanaanza kukuita wewe Mkenya sio Mtanzania as if kua Mtanzania halafu huna chakula na maisha mazuri ni sifa!

These CCM people are head cases....tumeshakaa nao miaka 58 tangu tupate uhuru 1961!

Na wanazidi kutuumiza!

Nikichoka sana siku napakia ndege naenda kukaa Syria kabisa!
Bado hujachoka kumbe.
 
Back
Top Bottom