Kigwa anafahamu atakapowatoaHao watalii watatoka wapi kwa sasa?!
Kigwa anafahamu atakapowatoa
Corona imeanza upya huko Uchina!Si nasikia ndege zipo full booked hadi September huko
So what?Corona imeanza upya huko Uchina!
What....what?!So what?
Utalii upo hoi worldwide!
Still sekta ya utalii bado ipo hoi...full recovery bado.Ulaya wameanza kufungua utalii...
Na ndege zimeanza international flights
Embu cheki IATA Mkuu
Still sekta ya utalii bado ipo hoi...full recovery bado.
Halafu hao watalii wanatoka wapi?Itarecover yenyewe?
Angalia hatua zinazochukuliwa na mataifa
Kenya wameondoa landing fee ili tickets za ndege ziwe rahisi
Rwanda wamepunguza Gorilla fees
Taarifa.rw
Halafu hao watalii wanatoka wapi?
Sijauliza hilo swali peke yangu ila hata hujiulizi hilo! Hujui hata situation ya sasa ilivyo.Nadhani hata sekta ya utalii haupo!Ndugu inaonekana hujui Industry ya Utalii, yaani hujui watalii wanatoka wapi.
Kama hujui Bora ukae Kimya, wanaojua watachangia.