Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
Bayern mbona watatembelea magoti.....Kati ya wachezaji mpira wenye nidham na good sportsmanship ni Buffoon ila basi tuu. It hurts to the core. Ila soccer la mahesabu nakujituma liko Italia. Wacha hao real wapangwe wakutane na Bayan
Mpira Wa Jana, Refa Mola AnamuonaDaaa ina uma sana, jamaa wamepambana mno afu mtu mmoja tu ana amua kuwaua! hakika ina kera sana
nipe sababu kwa nini ni penati?Ile ilikuwa penat pasipo na shaka, , mnasema walipambana mbona hata Madrid walipambana huko Italy ?
Hili ni swali kweli? Hukuangalia mechi?nipe sababu kwa nini ni penati?
Ndo mjue blunder zinafanyika dunia mziamaDaaa ina uma sana, jamaa wamepambana mno afu mtu mmoja tu ana amua kuwaua! hakika ina kera sana
Kweli kabisa mkuu.Refa ni mwendawazimu, ilikuwa iko so so soft, angewaacha tu wakaumizane ktk xtra time na penat km ingebidi
Huu ubishi wa uhalali wa penalti hauwezi kufika mwisho na haubadilishi chochote, japo mimi kwa upande wangu naona ingependeza zaidi kama wangeenda 120'.Kikubwa ni penalt halali au la. Kama ni halali hakuna shida refa ana haki.
kwani pale mpira ulikuwa umekwisha? ombeni kanuni za mpira ziweke refa wa pili wa kuzuia penati zisipigwe dakika ya 90.Refa mpumbavu sana!! Naona Buffoni alikuwa na hasira sana hadi kutoa hayo maneno.
Huwezi kufanya maamuzi kama yale kwa tension iliyokuwepo pale walau hata ingekuwa bado dakika za 70 huko.