Kwani haikuwa penati kweli? Huoni alivyomsukuma? Buffon hana adhabu alikosea sanaKati ya wachezaji mpira wenye nidham na good sportsmanship ni Buffoon ila basi tuu. It hurts to the core. Ila soccer la mahesabu nakujituma liko Italia. Wacha hao real wapangwe wakutane na Bayan
Na mayai viza from mashabikiIngekuwa bongo huyu refa angepigwa ngumi.
Sawa kaka umewajibu vizuri! Kama wanaichukia Madrid waseme tu! Sie hata tukitolewa hatuna shida. Hilo ni sokaIle ilikuwa penat pasipo na shaka, , mnasema walipambana mbona hata Madrid walipambana huko Italy ?
Buffon: “Referee can’t have the cynicism to destroy the effort of a whole team. A human being can’t send away a team like this!
If you want to be that protagonist, sit in the ground with your wife.
Oliver got a rubbish bin in place of his heart!”
View attachment 741834
Refa mpumbavu sana!! Naona Buffoni alikuwa na hasira sana hadi kutoa hayo maneno.
Huwezi kufanya maamuzi kama yale kwa tension iliyokuwepo pale walau hata ingekuwa bado dakika za 70 huko.
wee cheka tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bayern wenyewe umweaona!!
Mweeeh!
Refa ni mwendawazimu, ilikuwa iko so so soft, angewaacha tu wakaumizane ktk xtra time na penat km ingebidi
Nyie wote, hamjui mpira wala sheria za mpira...Refa mpumbavu sana!! Naona Buffoni alikuwa na hasira sana hadi kutoa hayo maneno.
Huwezi kufanya maamuzi kama yale kwa tension iliyokuwepo pale walau hata ingekuwa bado dakika za 70 huko.
Tuanzie hapa kwanza, unajua kutafsiri sheria ya penalty? Haya me natoa sababu 3 ambazo zinafanya nione refa alikuwa sahihi kutoa penatinipe sababu kwa nini ni penati?
Kaendelee kuvuta bange na ushabiki wako wa kipuuzi.Nyie wote, hamjui mpira wala sheria za mpira...
Unajua sababu ya kutokuwepo word cup au ndo ushabiki maandazi..?Hawa marefa ndio maana hata world cup hawapo
[emoji106] [emoji106] [emoji106]hili swala la uingeleza kutopeleka referee kombe la dunia naona tunalichukulia ndivosivyo.
FIFA huchagua marefaree kutoka kila bara, bara la ulaya hupewa kipaumbele kwa waamuzi 10 huku mabara mengine kama africa upeleka 6 na mengine hupeleka 3.
na ijulikane kwamba haiwezekani nchi moja kupeleka marefaree 2 ila kila nchi hupeleka refa mmoja na wasaidizi wake wawili kutoka nchi yake kwa upande wa ulaya.
na hao marefaree lazima wawe na bedge ya FIFA na wawe katika LONG LIST FIFA REFEREE.
na kwenye hii list kila nchi huwa na muamuz mmoja
SWALA LA UINGELEZA LIKO HIVI.
Fifa walitangaza majina ya waamuzi wa kombe la dunia november 2017 na aliyekuwa amechaguliwa kutoka uingeleza alikuwa ni MARCK CLETTENBURG. huyu ndie aliyekuwa ametajwa na wasaidizi wake wawil.
lakin ilipofika ferbruary mwaka huu clettenburg alipewa ofa kubwa sana saudi arabia la kwenda kuwa mkuu wa marefaree huku akilipwa pesa nying. aliamua kuachana na urefa akaenda kupiga pesa.
baada ya hapo uingeleza walipeleka majina ya waamuzi kama Martin Atkinson, Stuart Attwell, Robert Madley, Michael Oliver, Craig Pawson, Anthony Taylor na Paul Tierney ili wajaze nafasi iliyoachwa waz na clettenburg lakin fifa walikuwa wamesha mchukua refa kutoka netherland, na tuelewe kuwa england ndio wanaoongoza kwa kupeleka waamuz kombe la dunia
hivo si kwamba waamuz wa uingeleza wameachwa kutokana na maamuz yao ya hivi karibuni. kikubwa ni baada ya clettenburg kwenda uarabuni na nafas yake kuchukuliwa na taifa la netherland. kwa hao wengine waliotajwa walikiwa hawajaingia kwenye fifa long list referee na kwa upande wa england ilikuwa inakaliwa na clettenburg.
Anthon ndie aliyechezesha mechi ya juzi kat ya spain na Argentina.
Wewe unaejua kaa hivyo hivyo na ujuzi wako.Nyie wote, hamjui mpira wala sheria za mpira...
Subiri roho ikuume zaidi pale bayern atakapopigwa goli tatu na Ronaldo halafu zote za offiside.Kati ya wachezaji mpira wenye nidham na good sportsmanship ni Buffoon ila basi tuu. It hurts to the core. Ila soccer la mahesabu nakujituma liko Italia. Wacha hao real wapangwe wakutane na Bayan
Mchezaji akishakuwa mbele yako hasa kwenye position ya kufunga ukimgusa ni penati, ww kwa mawazo hakuwa faulo ile na kama jibu ni ndio ulitaka refa atoe nje ya kumi na nane?nipe sababu kwa nini ni penati?
Mkufunzi wa waamuzi CAF atoa ufafanuzi kuhusu penati ya Real Madrid na kadi ya Buffon
Mjadala wa tukio la jana wakati wa mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus bado unaendelea, penati ya dakika za lala salama waliyopewa Real Madrid na kadi nyekundu ya Gianluigi Buffon ni mjadala mzito sana.
Tuanze na penati, mkufunzi wa waamuzi wa shirikisho la soka barani Africa Leslie Liunda ametoa mtazamo wake kuhusu penati ya Real Madrid na kwa upande wangu maelezo ya Liunda yemetoa jibu la wazi kabisa kuhusu penati ile.
Liunda kwanza anatoa tafsiri ya namna mpira Benatia alivyoucheza, Benatia alikuwa nyuma ya Vazquez, ina maana Vazquez alikuwa katikati ya mpira na Benatia, ina maana kama ukiwa nyima ukitaka kuucheza mpira mbele ulio mbele ya mtu lazima uurukie na umrukie mchezaji, na kitendo cha kumrukia mchezaji ni penati.
Pili, mpira ulikuwa ni wa kucheza kwa kifua kama ilivyoonekana wakati Vazquez anaufuata lakini Benatia aliucheza kwa miguu. Tukio la kucheza mpira wa kichwa au kifua kwa miguu moja kwa moja ni faulu na Michael Oliver alifanya hivyo.
Lakini pia kwa namna ambavyo Benatia aliufuata mpira alionekana kumbughudhi Vazquez, alionekana kumnyima uhuru wazi wazi wa kuumiliki mpira na kuweka mkono mgongoni mwa Vazquez lilikiwa tuta la waziwazi.
Kuhusu kadi nyekundu, Leslie Liunda anasema tukio walilofanya Buffon na wachezaji wenzake wa Juventus baada ya uamuzi wa penati lilikuwa la kawaida kutokana na presha ya mchezo na dakika penati ilipotolewa. Refa alikosa busara kwa kushindwa kujiandaa kukabiliana na mhemko huo akatoa kadi nyekundu
Source: Shaffi Dauda