Bayern kwa madrid ni wepesi sana tena Bayern hii hamna kitu kabisa. Juventus wamepambanana sana hakuna aliyetegemea kufanya vile tena ugenini. Refa ndio kawamalizaKati ya wachezaji mpira wenye nidham na good sportsmanship ni Buffoon ila basi tuu. It hurts to the core. Ila soccer la mahesabu nakujituma liko Italia. Wacha hao real wapangwe wakutane na Bayan
kwa hiyo mtu akiwa mbele yako anapokea mpira wa juu umkabaje?umuache afunge?hoja ni faulo,na hapakuwa na faulo,hakumsukuma na alinyanyua mguu na kuugiMkufunzi wa waamuzi CAF atoa ufafanuzi kuhusu penati ya Real Madrid na kadi ya Buffon
Mjadala wa tukio la jana wakati wa mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus bado unaendelea, penati ya dakika za lala salama waliyopewa Real Madrid na kadi nyekundu ya Gianluigi Buffon ni mjadala mzito sana.
Tuanze na penati, mkufunzi wa waamuzi wa shirikisho la soka barani Africa Leslie Liunda ametoa mtazamo wake kuhusu penati ya Real Madrid na kwa upande wangu maelezo ya Liunda yemetoa jibu la wazi kabisa kuhusu penati ile.
Liunda kwanza anatoa tafsiri ya namna mpira Benatia alivyoucheza, Benatia alikuwa nyuma ya Vazquez, ina maana Vazquez alikuwa katikati ya mpira na Benatia, ina maana kama ukiwa nyima ukitaka kuucheza mpira mbele ulio mbele ya mtu lazima uurukie na umrukie mchezaji, na kitendo cha kumrukia mchezaji ni penati.
Pili, mpira ulikuwa ni wa kucheza kwa kifua kama ilivyoonekana wakati Vazquez anaufuata lakini Benatia aliucheza kwa miguu. Tukio la kucheza mpira wa kichwa au kifua kwa miguu moja kwa moja ni faulu na Michael Oliver alifanya hivyo.
Lakini pia kwa namna ambavyo Benatia aliufuata mpira alionekana kumbughudhi Vazquez, alionekana kumnyima uhuru wazi wazi wa kuumiliki mpira na kuweka mkono mgongoni mwa Vazquez lilikiwa tuta la waziwazi.
Kuhusu kadi nyekundu, Leslie Liunda anasema tukio walilofanya Buffon na wachezaji wenzake wa Juventus baada ya uamuzi wa penati lilikuwa la kawaida kutokana na presha ya mchezo na dakika penati ilipotolewa. Refa alikosa busara kwa kushindwa kujiandaa kukabiliana na mhemko huo akatoa kadi nyekundu
Source: Shaffi Dauda
kwa hiyo situation hiyo mabeki hawaruhusiwi kukaba?Mchezaji akishakuwa mbele yako hasa kwenye position ya kufunga ukimgusa ni penati, ww kwa mawazo hakuwa faulo ile na kama jibu ni ndio ulitaka refa atoe nje ya kumi na nane?
kukabia nyuma inaruhusiwa,mpira aliugusa,kulikuwa na contact ila hakumsukuma.Tuanzie hapa kwanza, unajua kutafsiri sheria ya penalty? Haya me natoa sababu 3 ambazo zinafanya nione refa alikuwa sahihi kutoa penati
1. Alikabia nyuma
2. Hakugusa mpira
3. Alimsukuma vasquez
Kutokana na hizo sababu ile ilikuwa ni penalty kwangu mimi sijui kwako isiyokuwa na utata wowote ila tatizo ni muda ambao ile penalty imepatikana, wengi walitaka game iende extra time ila penalty inatoka muda wowote na the way juve wali fight wali deserve kwenda muda wa nyongeza
Ushahidi wa mwisho. "MEHD BENATIA, I SLIGHTLY PUSHED AND MADE CONTACT WITH VASQUEZ IN THE BACK BUT HOPED HE WOULDN'T GO DOWN IN THE END, IF THAT HAPPENED TO ONE OF US THEN WE'D ALSO BE SCREAMING FOR A PENALTY. FOOTBALL IS LIKE THIS SOMETIMES"
haya nasubil na wewe sababu zako kuwa ile ilikuwa sio penalty
hii picha mnato inawadanganya.hiyo ni contact,issue ni dhumuni la contact,je alimsukuma au forward alikuwa anazuia kwa mgongo wake Benatia asiufikie mpira?angalieni video slow motion from different angles na Benatia aliugusa mpira,hakumsukuma wala kumvuta,jamaa yenu akajiangusha baada ya mguu wa Benatia kuokoa mpira.it was 50-50,ambayo sio sahihi kutoa penati.
Kuna watu mnapenda ubishi ! Sasa mpira upo mbele kifuani, wewe upo nyuma unauchezaje ?!hii picha mnato inawadanganya.hiyo ni contact,issue ni dhumuni la contact,je alimsukuma au forward alikuwa anazuia kwa mgongo wake Benatia asiufikie mpira?angalieni video slow motion from different angles na Benatia aliugusa mpira,hakumsukuma wala kumvuta,jamaa yenu akajiangusha baada ya mguu wa Benatia kuokoa mpira.it was 50-50,ambayo sio sahihi kutoa penati.
Moja kati ya marefa wapuuzi ni huyu refa Oliver
Huyu refa alipaswa aoneshwe kitendo ambacho marefa wengine wangejifunza.Huyo refa kama ni mimi Buffon ningemtemea mate...pumbaff kabisa.
Huyu refa alipaswa aoneshwe kitendo ambacho marefa wengine wangejifunza.
Vipi lile la msimu uliopita wakati mnawatoa PSG lilikuudhi pia [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kabisa...yani limeniudhi kwakweli.
kaangalie tackling za akina Cannavaro ujue unauchezaje tokea nyuma.refa mshamba tu.Kuna watu mnapenda ubishi ! Sasa mpira upo mbele kifuani, wewe upo nyuma unauchezaje ?!
Kwanza elewa, CR7 alikuwa ameua offside wakati anatoa hiyo pasi ya kichwa kwenda kwa Lukas, ambaye alikuwa ametangulia mabeki wote wa Juve wakiokuwa wameweka mtego wa off side. Hivyo huyo baki akaduri kuwahi tukio ndio maana akalazimisha kucheza kwa nyuma.
Me maandazi wewe ni chapati yaani unashindwa kujibu hoja Tactically, haya tuambie kwanini hawapo World Cup?Unajua sababu ya kutokuwepo word cup au ndo ushabiki maandazi..?
Me maandazi wewe ni chapati yaani unashindwa kujibu hoja Tactically, haya tuambie kwanini hawapo World Cup?
NAFIKIRI UTAKUWA UMEELEWA.hili swala la uingeleza kutopeleka referee kombe la dunia naona tunalichukulia ndivosivyo.
FIFA huchagua marefaree kutoka kila bara, bara la ulaya hupewa kipaumbele kwa waamuzi 10 huku mabara mengine kama africa upeleka 6 na mengine hupeleka 3.
na ijulikane kwamba haiwezekani nchi moja kupeleka marefaree 2 ila kila nchi hupeleka refa mmoja na wasaidizi wake wawili kutoka nchi yake kwa upande wa ulaya.
na hao marefaree lazima wawe na bedge ya FIFA na wawe katika LONG LIST FIFA REFEREE.
na kwenye hii list kila nchi huwa na muamuz mmoja
SWALA LA UINGELEZA LIKO HIVI.
Fifa walitangaza majina ya waamuzi wa kombe la dunia november 2017 na aliyekuwa amechaguliwa kutoka uingeleza alikuwa ni MARCK CLETTENBURG. huyu ndie aliyekuwa ametajwa na wasaidizi wake wawil.
lakin ilipofika ferbruary mwaka huu clettenburg alipewa ofa kubwa sana saudi arabia la kwenda kuwa mkuu wa marefaree huku akilipwa pesa nying. aliamua kuachana na urefa akaenda kupiga pesa.
baada ya hapo uingeleza walipeleka majina ya waamuzi kama Martin Atkinson, Stuart Attwell, Robert Madley, Michael Oliver, Craig Pawson, Anthony Taylor na Paul Tierney ili wajaze nafasi iliyoachwa waz na clettenburg lakin fifa walikuwa wamesha mchukua refa kutoka netherland, na tuelewe kuwa england ndio wanaoongoza kwa kupeleka waamuz kombe la dunia
hivo si kwamba waamuz wa uingeleza wameachwa kutokana na maamuz yao ya hivi karibuni. kikubwa ni baada ya clettenburg kwenda uarabuni na nafas yake kuchukuliwa na taifa la netherland. kwa hao wengine waliotajwa walikiwa hawajaingia kwenye fifa long list referee na kwa upande wa england ilikuwa inakaliwa na clettenburg.
Anthon ndie aliyechezesha mechi ya juzi kat ya spain na Argentina.
Na wewe umeelewa kuwa ulikosea kunitusi?NAFIKIRI UTAKUWA UMEELEWA.
kauli za mabanda umiza hizo tusameheane tu..Na wewe umeelewa kuwa ulikosea kunitusi?
Nimekusamehe ila hizo kauli usiwe unazileta kwenye jukwaa la JF.kauli za mabanda umiza hizo tusameheane tu..