Bugando hospital mkiwemo na wafanyabiashara wakubwa Mwanza wanunulieni simu za Apple madaktari bingwa,oneni aibu...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Ni aibu Kwa uongozi mzima wa hospitali ya Bungando na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza kushindwa kuwanunulia simu bora na za kisasa madaktari bingwa wanaookoa roho za maelfu ya wagonjwa mfano unakuta daktari bingwa specialist kama dr.Agnes Haule anatumia simu ya tochi isiyosikika vyema,sasa atawasiliana vipi na wagonjwa ilihali aljpaswa kujiunga Instagram au WhatsApp au Facebook kutoa elimu zaidj hata Anko Magu yumo twitter kutoa maoni na kuwafikia wananchi zaidi

Uongozi mjitathimini mamilioni mnayoingiza kila siku yanaenda wapi,na mwape simu za Apple siyo za bei chee

Instagram:kaukwaju
 
Attachments

  • IMG_20180915_221430_630.jpg
    IMG_20180915_221430_630.jpg
    10 KB · Views: 39
  • IMG_20180915_221302_546.jpg
    IMG_20180915_221302_546.jpg
    8.2 KB · Views: 35
Ni aibu Kwa uongozi mzima wa hospitali ya Bungando na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza kushindwa kuwanunulia simu bora na za kisasa madaktari bingwa wanaookoa roho za maelfu ya wagonjwa mfano unakuta daktari bingwa specialist kama dr.Agnes Haule anatumia simu ya tochi isiyosikika vyema,sasa atawasiliana vipi na wagonjwa ilihali aljpaswa kujiunga Instagram au WhatsApp au Facebook kutoa elimu zaidj hata Anko Magu yumo twitter kutoa maoni na kuwafikia wananchi zaidi

Uongozi mjitathimini mamilioni mnayoingiza kila siku yanaenda wapi,na mwape simu za Apple siyo za bei chee

Instagram:kaukwaju
Kwanini usimnunulie wewe? Mabadiliko yanaanzia kwako. BTW huyo Dr uliemtaja amekwambia hawezi kununua hio iPhone? Au kila anaetumia simu ya kawaida ni kwasababu hana uwezo wa kununua hio iPhone?
 
Ni aibu Kwa uongozi mzima wa hospitali ya Bungando na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza kushindwa kuwanunulia simu bora na za kisasa madaktari bingwa wanaookoa roho za maelfu ya wagonjwa mfano unakuta daktari bingwa specialist kama dr.Agnes Haule anatumia simu ya tochi isiyosikika vyema,sasa atawasiliana vipi na wagonjwa ilihali aljpaswa kujiunga Instagram au WhatsApp au Facebook kutoa elimu zaidj hata Anko Magu yumo twitter kutoa maoni na kuwafikia wananchi zaidi

Uongozi mjitathimini mamilioni mnayoingiza kila siku yanaenda wapi,na mwape simu za Apple siyo za bei chee

Instagram:kaukwaju
Bwana Kimario karibu Watanzania wote wenye "Smart phone" wana simu ndogo kwa ajili ya laini ya pili na kama hujui hiyo simu unayoiona kama imechokachoka ndiyo yenye laini ya MPESA/AirtelMoney/TIGO Pesa.

Hiyo simu uliyoiona ya Agnes ndiyo ile yenye akiba yake; Smartphone iko kwenye mkoba
 
Yani daktari mzima anashindwa kununua iphone
Wakati tunasoma tuliaminishw kuwa waliokua wanasoma science wangekua na bright future[emoji23]
 
Hahahahaa ndugu yangu kama wewe ndio Agness niPm nina ka iPhone 5s sikatumii
 
Ni aibu Kwa uongozi mzima wa hospitali ya Bungando na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza kushindwa kuwanunulia simu bora na za kisasa madaktari bingwa wanaookoa roho za maelfu ya wagonjwa mfano unakuta daktari bingwa specialist kama dr.Agnes Haule anatumia simu ya tochi isiyosikika vyema,sasa atawasiliana vipi na wagonjwa ilihali aljpaswa kujiunga Instagram au WhatsApp au Facebook kutoa elimu zaidj hata Anko Magu yumo twitter kutoa maoni na kuwafikia wananchi zaidi

Uongozi mjitathimini mamilioni mnayoingiza kila siku yanaenda wapi,na mwape simu za Apple siyo za bei chee

Instagram:kaukwaju

Kwanini uwachagulie simu za kununuliwa?
Afu kwa nini wanunuliwe simu? Daktari bingwa toka lini akakosa hela ya kununua simu! Wametaka wao kutumia vitochi wewe inakuuma nini?

Mwenyewe team Apple lakini sina dharau izo kuona simu zingine fala.
 
Madaktari wengi wanatumia simu za torch, kwa sababu ya emergency calls, huwezi itegemea smartphone kwenye mawasiliano muhimu, itakuangusha.
 
Swali zuri sana, ngoja nisubiri jibu lake mtoa uzi..
You have to wake up man!taasisi karibu nyingi za serikali viongozi wake wanapewa simu na airtime kila mwezi,nenda Kahama hata msoma mita wa maji ana pikipiki simu aliyopewa na office na bando LA mwezi,nenda tbl mwanza walishapewa blackbery simu ukiajiliwa tu tena miaka ya 2009,sembuse daktari bingwa ambae maisha yake yote anahudumia wagonjwa,jioneeni huruma Bungando haiwezi filisika inaingiza hela nyingi
 
hizo attachments ndo madaktari bingwa wenyewe ?
 
Ni aibu Kwa uongozi mzima wa hospitali ya Bungando na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza kushindwa kuwanunulia simu bora na za kisasa madaktari bingwa wanaookoa roho za maelfu ya wagonjwa mfano unakuta daktari bingwa specialist kama dr.Agnes Haule anatumia simu ya tochi isiyosikika vyema,sasa atawasiliana vipi na wagonjwa ilihali aljpaswa kujiunga Instagram au WhatsApp au Facebook kutoa elimu zaidj hata Anko Magu yumo twitter kutoa maoni na kuwafikia wananchi zaidi

Uongozi mjitathimini mamilioni mnayoingiza kila siku yanaenda wapi,na mwape simu za Apple siyo za bei chee

Instagram:kaukwaju
Kwa hyo taabu za madaktari umeona ni simu tu?? [emoji35] acha kupotosha umma
 
Back
Top Bottom