Bugando hospital

Hizo sehem za kukojolea wasiojua maana yake ni kasheshe....nliingia sehem siku moja nkakuta mmasai anakunya hapo
 
binadamu haswa mtanzania sio wasitaarabu ingawa kuna tahadhal lakn anaweza kujisaidia kubwa hapo hapo.
 
Sijaona ushahidi kama kweli hapo ni bugando hospital. Je kama ni bar,hotel au guest house nje au ndani ya mkoa wa mwanza?
Mkuu kama una ndugu yako pale mwambie aende G4 choo cha wanaume atakuta hii kitu
 
WASUKUMA BANA BILA HIVI WANASHUSHA GOGO MAENEO YA HAJA NDOGO
Hiyo inasaidia kwa kiwango kidogo sana mkuu, Maana wengi wao ni Mabashite hawajui kusoma na kuandika sasa hapa Picha inayoeleweka ni muhimu ili waelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…