Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 289
- 415
Jenista ana diploma/certificate? ya ualimu, then masters bila kusoma degreeIvi waziri wa afya ni nani jina lake jaman maana mimi simjui kabisa kwa jina wala kwa sura
Huyo ndo waziri wa afya?Jenista ana diploma/certificate? ya ualimu, then masters bila kusoma degree
YesHuyo ndo waziri wa afya?
Changamoto
True. Ila kwa maoni yangu waziri wa afya yafaa awe Daktari, waziri wa sheria yafaa awe mwanasheria.waziri ni mwanasiasa sio necessary awe MD
Yes kwa sababu ni nafasi ya kisiasa, si ya kiufundi moja kwa moja.True. Ila kwa maoni yangu waziri wa afya yafaa awe Daktari, waziri wa sheria yafaa awe mwanasheria.
Tz waziri wa sheria mara kadhaa sio mwanasheria unajiuliza why?
Kama waziri WA uchumi....True. Ila kwa maoni yangu waziri wa afya yafaa awe Daktari, waziri wa sheria yafaa awe mwanasheria.
Tz waziri wa sheria mara kadhaa sio mwanasheria unajiuliza why?
Jenister ana masters kutoka chuo gani? Na alisomea nn? Em kua serious bas. KhaaahJenista ana diploma/certificate? ya ualimu, then masters bila kusoma degree
Duuh polee sana.Binafsi sina Imani na Hosp yoyote ile ya Government..
Kuna kitu walinifanyia last yr ningekuw na afya mgogoro sahiv ndg zangu wangekuw wananitembelea ktk nyumba yangu ya milele.
Ndugu zangu, hapa Mwanza tuna hospitali ya kanda ya Bugando ambayo lengo la uwepo wake ni kuokoamaisha ya Watanzania wa mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa jirani.
Hospitali hii inaaminika kwakua inao watumishi waliobobea kwenye kada zote, na wapo madaktari bingwa kwenye hospitali hii.
Cha kushangaza ni kwamba baadhi ya wagonjwa hufariki kwa uzembe wa kutoa huduma bora kwenye hospitali hii, mfano mwaka 2023 alifariki ndugu yangu aliyekuwa akipewa matibabu kwenye hii hospitali.
Ilikua hivi, alipelekwa bugando ijumaa na kupimwa kipimo kikubwa cha MRI baada ya kupimwa, tukaambiwa wataalamu wa kusoma majibu wako Off kwakua ni wikendi, tukaambiwa jumatatu yake angepewa majibu, isivyo bahati akafariki jumatatu asubuhi hata kabla ya majibu, na wakati wote walikua wakimpa dawa za maumivu, hivyo hii tabia ife mara moja, maana naambiwa sasa imekuwa mwendelezo, kuna mgonjwa yuko hapo tangu ijumaa anasumbuliwa na Moyo saana, mpaka leo hajapewa majibu ya vipimo Tangu ijumaa badala yake wanampa Amoxline ambazo angepata hata mtaani, huyu nae akifa sababu ya kutopewa huduma stahiki TUTASHINDWA KUVUMILIA, Serikali wekeni mkono hapa Waziri wa Afya simama kidete...
Changamoto kweli kweliChangamoto
Ni Dr. Jenister Mhagama.Ivi waziri wa afya ni nani jina lake jaman maana mimi simjui kabisa kwa jina wala kwa sura
Bugando sio hospital ya governmentBinafsi sina Imani na Hosp yoyote ile ya Government..
Kuna kitu walinifanyia last yr ningekuw na afya mgogoro sahiv ndg zangu wangekuw wananitembelea ktk nyumba yangu ya milele.