mbutalikasu
Member
- Jan 20, 2012
- 53
- 20
jamani madaktari hebu tusaidieni hili waoneeni huruma hawa watoto hawana hatia yoyote watibuni kama vifaa havipo iambieni serikali kuwa nyie siyo wapiga ramli mnatumia vifaa jamani, maskini mtoto wangu anakufa bugando
jamani madaktari hebu tusaidieni hili waoneeni huruma hawa watoto hawana hatia yoyote watibuni kama vifaa havipo iambieni serikali kuwa nyie siyo wapiga ramli mnatumia vifaa jamani, maskini mtoto wangu anakufa bugando
pole sana, tatizo si madaktari ni serikali yenyewe haipeleki vifaa kwa wakati. Ndio maana CT scan machine ya bugando haifanyi kazi muda mrefu
mkuu hapo nakugongea like... hilo ulilosema ndilo la muhimu, mie nipo hospitali isiyo na chumba cha upasuaji zaidi ya mwaka na ni hospitali ya mkoa, gharama ya kuikamilisha na vifaa ni 6 Billion, lakini chaguzi ndogo gharama ni 19Billion sasa serikali yetu inawajali wananchi?? kila mgonjwa anayekuja na anahitaji huduma ya upasuaji inabidi kumpeleka hospitali ya KCMC rufaa na huko analipa gharama za kutosha, tatizo la dakatari hapo sijaliona na ninadhani ni muda sasa wananchi wakaelewa yanayojiri badala ya kulaumu madaktari
pole sana mzazi,inauma sana kama unaweza ukaongea na madaktari ununue vifaa mwenyewe wamtibu mwanao kunusuru maisha yake,SI SAHIHI LAKINI UTAFANYAJE NA MTOTO ANAHTAJI HUDUMA HARAKAjamani madaktari hebu tusaidieni hili waoneeni huruma hawa watoto hawana hatia yoyote watibuni kama vifaa havipo iambieni serikali kuwa nyie siyo wapiga ramli mnatumia vifaa jamani, maskini mtoto wangu anakufa bugando