The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Tourbillon ya 2026 ni muundo mpya kabisa kutoka Bugatti tangu kampuni hiyo ilipoungana na kampuni ya Rimac ambayo ni mtengenezaji wa magari ya umeme ya michezo mnamo 2021, na inachukua nafasi ya Chiron. Kwa bei fulani iliyochngamka ya pauni milioni 3.8 (Tsh Bilioni 13.2) unaweza kuliongeza kwenye collection ya toys zako. Bei hii ni kwa mujibu wa kipindi cha Top Gear kilichofanya mahojiano na CEO wa kampuni ya Rimac Group, Mate Rimac.
Tourbillon inaongeza motors tatu za umeme kwenye injini ya mafuta yenye mitungi mingi, kwa jumla ya horsepower 1775—zaidi ya toleo lolote la Bugatti.
Tourbillon inaongeza motors tatu za umeme kwenye injini ya mafuta yenye mitungi mingi, kwa jumla ya horsepower 1775—zaidi ya toleo lolote la Bugatti.