Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Muda hautoshi, vyuma vinatolewa kila siku.
Kampuni ya Kibabe ya Magari kutoka Ufaransa, Bugatti wameamua kutuletea generation mpya ya gari yao itakayomrithi Bugatti Chiron aliekuwepo tokea 2016 na sasa officially imeachwa kutengezwa 2024, na tumepewa Bugatti Tourbillon.
Hii gari ina cc 8300 V-16 engine, inayotoa horsepower 1000, na pia ina electric motors zinazoongeza horsepower nyingine 800 na kua na jumla ya 1800 hp.
Kwa wazee wa bei, inaenda $ 4 Million, bila ushuru wa TRA.