Hasa kama una pesa za mawazo1800HP kwa gari ni hasara tupu
Gari ya 4M usd halafu ya kisasa kabisa haina infotainment screen, natafakari hizo features sijui una set vipi na kutizama wapi. .. Mfano map, launch control, camera wakati wa reverse, umbali unaokwenda tokana na fuel iliyopo, pressure kwenye tyres n.k...Muda hautoshi, vyuma vinatolewa kila siku.
Kampuni ya Kibabe ya Magari kutoka Ufaransa, Bugatti wameamua kutuletea generation mpya ya gari yao itakayomrithi Bugatti Chiron aliekuwepo tokea 2016 na sasa officially imeachwa kutengezwa 2024, na tumepewa Bugatti Tourbillon.
View attachment 3022206View attachment 3022210
Hii gari ina cc 8300 V-16 engine, inayotoa horsepower 1000, na pia ina electric motors zinazoongeza horsepower nyingine 800 na kua na jumla ya 1800 hp.
View attachment 3022211
Kwa wazee wa bei, inaenda $ 4 Million, bila ushuru wa TRA.
HAhahahaaha fala kqel wewDalali atakuambia mafuta inanusa.
Umeme mwingi, mafuta kidogo misele mingiDalali atakuambia mafuta inanusa.
Bora mm mzinifu ila madalali mbinguni watapasikia tu. Umenikumbusha mbali sana, gari yangu ya kwanza.Dalali atakuambia mafuta inanusa.
Wazee wa kibati.Hizo cc na horsepower zote za nini
Nunua kwanza. Ya barabara utayajua mbele ya safari. Hivi unaamini kwamba nchi kama Kenya, Ethiopia nk wana barabara nzuri kuliko sisi? Ila ukienda Nairobi…utakuta magari mazuri kuliko hapa kwetu.Bongo utaendeshea barabara gani?