Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninawaza kuwa haikuwa muda mrefu sana tulikuwa na vikongwe vilivyozaliwa 1890Huo mwaka sio zamani kama inavyofikiri,zanziba kuna majengo makali yalijengwa miaka hiyo,kijijini kwetu kuna kanisa kali lilijengwa 1886,hata ukienda posta kuna majengo ya miaka hiyo,old boma bagamoyo etc
Umenitisha ngoja nikapate chanjo ya uvico kumbe ninakaribia kurudisha nambaNinawaza kuwa haikuwa muda mrefu sana tulikuwa na vikongwe vilivyozaliwa 1890
Sasa hivi vikongwe wa 1920 ni nadra kuwaona wengi wameshatangulia mbele za haki
Waliozaliwa 1930 ndiyo wanaishia na watafuatia wa 1940 na 1950.
Wale wa 1960 ndiyo wazee wa heshima mtaani.