Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.

Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.

kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo waunganisha wafanyabiashara wengi sana wa maeneo haya.

Utafiti wangu binafsi niliyofanya kwa muda wa miezi mitatu nimekuja kugundua kwamba hapa Buguruni kuna mzunguko mkubwa sana wa hela ila vijana kadhaa wanaoshika hela haziwanufaishi moja kwa moja wao binafsi na serikali.

SHALOOM AFRICA ENTERPRISES imekuja na idea ya kuanzisha BUGURUNI BUSINESS CENTRE ili kuwafanya wale wote ambao ni ghost entrepreneurs kubadili mawazo na kufanya biashara za kisasa kwa kufuata compliance zote za serikali ili kutengeneza imani na mabenki na kukopeshwa fedha kwa ajili ya biashara zao pale wanapohotaji.

Karibuni wote.

Shalom watu wa Mungu.
 

Attachments

  • IMG-20241106-WA0008.jpg
    IMG-20241106-WA0008.jpg
    130.3 KB · Views: 12
Back
Top Bottom