Buguruni maeneo gani mazuri yametulia?

Buguruni maeneo gani mazuri yametulia?

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location

Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana [emoji2937]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]hauko serious buguruni itulie?wapii?ghana?malapa?rozana?kwa mnyamani?kwa biti madenge?au pale sheli?haipo ndugu yangu na labda izaliwe upyaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kavurugwa huyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwa wallah, khaaah.
Mlongoo acha Kabisaa tuna kibanda kulecha urithi[emoji16][emoji16][emoji16]natamani kukihamisha nikiweke ht mbagala mbande,uzuri wa paleni centre yaani Kama magomeni vile popote unafika mda wooote ndani ya Dar
 
Back
Top Bottom