Ushamba upo wapi hapo, ww ni reasonable fellow, naomba point ushamba alioongelea hapo.Heshima yangu kwako nimeushusha. Huu mtazamo wako ni ya kiushamba sana.
Kiss ass country, you love and praise your mastersTulieni wakuu, hizi ligi za ugenini hazichezagwi na watu wa divishen1. Jiwe ajikakamue kwenye mazoezi kwanza.
Kama hamjatajwa inamaanisha hampo kwenye ratiba ya masuala muhimu duniani mwaka huu. Endeleeni kununua wapinzani kwanza bila presha.Aliwawakilisha hao aliowajadili, somalia, sudan, Tz hana hadhi ya kuiwakilisha, aiwakilishe kwenye jambo gani kwa mfano. Nyie mnachekesha kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hatujipendekezi kwa wazungu lakini tunaomba misaada kwao.Hakuna cha kuwakilisha ukanda, yeye alienda kwa ajili ya Kenya usituingize katika fedhea yenu, ninyi kazi yenu ni kujikomba kwa wazungu tangu zamani, sisi hiyo haijawahi kuwa sera yetu tangu enzi za Nyerere tunahisi ni kujidhalilisha, tafadhali sana usitushirikishe katika hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masuala muhimu ya binadamu duniani ni life made easier, reasonable settlement, shibe, usalama wao, mavazi, elimu etc. Ambavyo Tz tunavyo na tunazidi boresha.Kama hamjatajwa inamaanisha hampo kwenye ratiba ya masuala muhimu duniani mwaka huu. Endeleeni kununua wapinzani kwanza bila presha.
Mzee sijui kwanini umesahau kuongeza na drimulaina pia.Masuala muhimu ya binadamu duniani ni life made easier, reasonable settlement, shibe, usalama wao, mavazi, elimu etc. Ambavyo Tz tunavyo na tunazidi boresha.
Hayo mengine ni nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanigeria wenyewe wanasema kwenye vlkao kama hivyo akili za rais wao huwa zipo kwenye ng'ombe wake kule nyumbani. [emoji1] On a serious note, image ya rais na anavojibeba ni suala nyeti sana, sanasana wakati anazuru kwenye nchi za wenyewe.Good thing na hawa wenzetu, they're opinionated and direct.
Hawapindishi maneno.
Wanigeria wenyewe wanasema kwenye vlkao kama hivyo akili za rais wao huwa zipo kwenye ng'ombe wake kule nyumbani. [emoji1] On a serious note, image ya rais na anavojibeba ni suala nyeti sana, sanasana wakati anazuru kwenye nchi za wenyewe.
Hapo kwenye picha trump alikuwa anampa mkono, lakinl akili za Buhari nadhani zilikuwa kule Maiduguri.Hahah!, eti Ziko kwenye ng'ombe..
Ni kweli aseh!, Image ni muhimu sana.
Like, this pic is such a bad Image and PR for President Buhari.
Whatever point Trump was making, Buhari seemed aloof. He could've at least lean forward, keep eye contact or do something else to show the engagement and well...full of life!
View attachment 849715
ndio maana kasimamishwa nje ya red carpet.hajali ilimradi kapiga picha.Tulieni wakuu, hizi ligi za ugenini hazichezagwi na watu wa divishen1. Jiwe ajikakamue kwenye mazoezi kwanza.
Red carpet gani hiyo ya kupigia picha tu? Red carpet wanaikanyaga wakati wanatembea. Ulitaka wakumbatiane ili watoshee? Ona akili zako za kizinzi! [emoji1]ndio maana kasimamishwa nje ya red carpet.hajali ilimradi kapiga picha.
saa ingine usitumie akili hizi za usiku,nikuulize hapo imetumika protocally gani ya usimamaji??Red carpet gani hiyo ya kupigia picha tu? Red carpet wanaikanyaga wakati wanatembea. Ulitaka wakumbatiane ili watoshee? Ona akili zako za kizinzi! [emoji1]
Uhuru keshachoma bange zake yeye anakenua tu, keshazoea vumbi la Mathare. Duh.saa ingine usitumie akili hizi za usiku,nikuulize hapo imetumika protocally gani ya usimamaji??
Kwa heshima kubwa hizo za mikeka jombaa acha mjadili na huyu zero brain mwenzako hapa chini. Hizo sitawezana nazo. Asanteni.saa ingine usitumie akili hizi za usiku,nikuulize hapo imetumika protocally gani ya usimamaji??
Uhuru keshachoma bange zake yeye anakenua tu, keshazoea vumbi la Mathare. Duh.
ushajipima ukagundua hutoshi,haya kalale,nex chunga unakujaje.Kwa heshima kubwa hizo za mikeka jombaa acha mjadili na huyu zero brain mwenzako hapa chini. Hizo sitawezana nazo. Asanteni.
Shauri yako.Kwa heshima kubwa hizo za mikeka jombaa acha mjadili na huyu zero brain mwenzako hapa chini. Hizo sitawezana nazo. Asanteni.