Toka lini Kibaraka wa Marekani akawa Leader, ?Rais Uhuru Kenyatta ndiye 'regional leader' ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati. Hao wengine wanaopenda kuvaa kofia za ajabu ajabu wanajuana wenyewe kwa wenyewe tu.
Mnyaa ngani yivi ni muyayitu?Kuna uyoga mwingine huko western unaitwa 'rogosumu'. Kubwa utadhani karai. Lol...
Mkuu, kikwete kaitia hii nchi hasara sana. FYI you dont understand, his smile confused you, uchumi wa Tz unapaa as per ccm manifesto, not kikwete or magufuli. Geez, you're so misinformed, hawa presidents wanafuaga ilani za chama, mizunguko ya kikwete iliitia hoo nchi hasar hadi watu wakamwita vasco da gama. Woi, nikuache hapo, sina time. But you dont understad, magu is the best.Mbona nyinyi mnawaona wazungu kama watu special sana? Mtu akijihusisha nao eti ni kwamba anajipendekeza kwao. Fikra kama hizi ni za kipuzi, hazifai.
Fyi, ni kutokana na Kikwete kuzurura huko ndiko uchumi wa Tanzania umekuwa ukikuwa kwa viwango hivyo tunavyoshuhudia sasa.
Huyu rais wa sasa mnampa pongezi nyingi visivyo.
Magufuli ameshinda awards karibu zote za viongozi zinazowahusu presidents wa Africa, tangu Magufuli awe rais Kenyatta amepotea kabisa, kumbuka kabla ya Magufuli aliyekua akitamba alikua Kagame, utasemaje ni rais bora wakati ameshindwa kupambana na corruption, tribalism, police killings, hunger and nepotism?Rais Uhuru Kenyatta ndiye 'regional leader' ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati. Hao wengine wanaopenda kuvaa kofia za ajabu ajabu wanajuana wenyewe kwa wenyewe tu.
Mbona Uhuru anayezurura hovyo kila siku lakini uchumi haukui kama Tanzania na kwanini tangu Magufuli aache kazi uchumi unazidi kuimarika na tunafanya mambo makubwa zaidi?Mbona nyinyi mnawaona wazungu kama watu special sana? Mtu akijihusisha nao eti ni kwamba anajipendekeza kwao. Fikra kama hizi ni za kipuzi, hazifai.
Fyi, ni kutokana na Kikwete kuzurura huko ndiko uchumi wa Tanzania umekuwa ukikuwa kwa viwango hivyo tunavyoshuhudia sasa.
Huyu rais wa sasa mnampa pongezi nyingi visivyo.
[emoji1][emoji1][emoji1]Hizo kofia za kihuni huwa wanazivalia wakati wanatema mistari, do you want another rap?Kuna uyoga mwingine huko western unaitwa 'rogosumu'. Kubwa utadhani karai. Lol...
Utumwa bado umebaki vichwani mwenu, Tanzania tulishajitawala kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni. Kamwe hatuna ulimbukeni wa kuthamini lugha ya kigeni, hasa za watu waliotidhalilisha na kudharau utamaduni wetu.[emoji1][emoji1][emoji1]Hizo kofia za kihuni huwa wanazivalia wakati wanatema mistari, do you want another rap?
Haa! Eti Trump kajichokonoa pua? Acha zako, akili za Buhari ndio zimeenda halftime! [emoji1]sasa tatizo nini???kwani lazima kumpa mkono,hatuwezi kusalimiana hadi tupeane mikono??
hatuwezi kujua kilichokuwa kikiendelea kabla ya kupeana mikono,huenda bwana buhari alimuona trump akijichokonoa pua yake kwa vidole vya huo mkono aliompa!! ..hata mimi nisingempa mkono wangu!
Hujaelewa chochote ila unajaribu sana.Kwa hiyo wakaamua wajenge miundo mbinu ya east African !!!!, kuhusu Sudan wameamua itakuwa jumbo la Kenya mipaka Uganda na Tz itakuwa mkoa wa Nairobi, ambapo Rwanda ni Wilaya za kibera slams. Sijui kama nimekuelewa sahihi.
Endeleeni kujitawala jombaa. Hata wasomali nao pia wanajitawala wakitumia lugha zao.Utumwa bado umebaki vichwani mwenu, Tanzania tulishajitawala kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni. Kamwe hatuna ulimbukeni wa kuthamini lugha ya kigeni, hasa za watu waliotidhalilisha na kudharau utamaduni wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hizo tuzo alizoshinda Jiwe walimtumia kwenye posta? Hata kumualika akazipokee waliogopa? Wewe nawe bana.Magufuli ameshinda awards karibu zote za viongozi zinazowahusu presidents wa Africa, tangu Magufuli awe rais Kenyatta amepotea kabisa, kumbuka kabla ya Magufuli aliyekua akitamba alikua Kagame, utasemaje ni rais bora wakati ameshindwa kupambana na corruption, tribalism, police killings, hunger and nepotism?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaraka kwasababu kaalikwa kwenye ikulu ya Trump? Kwahivyo Buhari na rais wa S.A pia ni vibaraka? Sawa jombaa.Toka lini Kibaraka wa Marekani akawa Leader, ?
Halafu mbona unatulazimisha mzee,?
huyo trump mwenyewe naye akili zake huenda likizo sometimes!Haa! Eti Trump kajichokonoa pua? Acha zako, akili za Buhari ndio zimeenda halftime! [emoji1]
Huna unachojua unapiga kelele kama mbuzi jike, mwezi ujao Chissano atakuja Dar kuja kumkabidhi tuzo ya ukombozi aliyoshinda hivi Karibuni, tuzo zote za Africa zinapelekwa kwa mshindi sio mshindi kuitwa kwenda kuipokea, na hata wakimwita atapeleka mwakilishi, kwanza ni nyingi sana hatoweza kuzurura hovyo wakati kuna mambo ya msingi ya kufanya.Endeleeni kujitawala jombaa. Hata wasomali nao pia wanajitawala wakitumia lugha zao.
Yaani hizo tuzo alizoshinda Jiwe walimtumia kwenye posta? Hata kumualika akazipokee waliogopa? Wewe nawe bana.
Hahahaaa! I guess something like gangstarr full clip rap.....don't need filthy corps in my hooood!, when me taking my dope with ma fellow niggaz, bring them dope beats cause we're hi on 'em.......... lol[emoji1][emoji1][emoji1]Hizo kofia za kihuni huwa wanazivalia wakati wanatema mistari, do you want another rap?
Yes!. Kandi vurungi muno! Hahahaaa....Mnyaa ngani yivi ni muyayitu?
Sasa kwasababu itakuwa ni mzungu amejileta mwenyewe sijui watasemaje hawa wenzetu.Kesho ndio the big day May akiwasili, na tafadhali wamwagaji povu msituharibie siku.
kenya kwa kujipendekeza hawajambo
Wazungu wamekuwa vibaraka wa Kenya.Sasa kwasababu itakuwa ni mzungu amejileta mwenyewe sijui watasemaje hawa wenzetu.
Ngoja hiyo kesho Theresa May akija tutayasikia yote.Wazungu wamekuwa vibaraka wa Kenya.