Buhigwe ya kijani #kazi iendelee

90% ya watu wanaoonekana kwenye huo mkusanyiko.

Wamesombwa na maroli, Treni na ndege kutoka sehem mbalimbali nchini.

Mf: Nape na crew nzima kutoka kusini
 
Ccm siku hizi inajipigia tu kilaini maana majama yalishaelekea kibra yenyewe huku yakiimba Samia mi 10 tena na ccm mbele kwa mbele
 
Kuna sura naziona Apo kwenye mkusanyiko

zinaonyesha masononeko makubwa moyoni mwao.

Bila Shaka Ni watumishi wa serikali na familia zao waliolazimishwa kuhudhuria mkutano wa siasa

Na Kulazimishwa kusaini daftar la mahudhurio.
 
Nasikia ACT wameshapigwa halafu wameanza kulia lia, Nape aliwaonya mapema sana ila hawakusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…