Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Oct 23, 2017 #1 Huu ni uzi wako wewe mwanamichezo. Mambo yote yanayotokea kuelekea Mtanange wa kukata na shoka wa Kariakoo Derby utayapata hapa! Taarifa zote za kambi, maandalizi ya mchezo, fitna na vituko kabla ya mechi utapata katika uzi huu. Karibuni wakuu!
Huu ni uzi wako wewe mwanamichezo. Mambo yote yanayotokea kuelekea Mtanange wa kukata na shoka wa Kariakoo Derby utayapata hapa! Taarifa zote za kambi, maandalizi ya mchezo, fitna na vituko kabla ya mechi utapata katika uzi huu. Karibuni wakuu!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 23, 2017 #2 Subscribed...Lete habari na picha kabisa
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Oct 24, 2017 #3 Jumamosi tunafunua madela na kuweka baooooo