ujenzi nafuu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 243
- 88
- Thread starter
-
- #181
?Mpaka hapo imekula sh ngapi?Welcome all!
"A small plot Size, with spacious living space"
whatsap/call +25571380575
View attachment 2218829
Kwa 25m, ni nyumba ambayo itakuwa imeezekwa ila finishing itakuwa bado, ila pia aina ya design na aina ya eneo lako pia hupelekea gharama za ujenzi wako, Kwa ushauri zaidi karibu tuwasiliane, ninaweza kukushauri tu hata kama hatutofanya kazi pamoja, Karibu mkuu!!.Kwa milion 25 naweza pata nyumba ya vyumba viwili kimoja master?