Building Contractors & General Cleanliness

Karibuni nyote kwa ramani na ujenzi.
watsap call us: 0713805750, 0765141027
 
Nyumba kama hii kujenga kuanzia msigi hadi finishing bei gani?
 
Nyumba kama hii kujenga kuanzia msigi hadi finishing bei gani?
Nyumba kama hiyo hutofautiana bei kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine, sababu zikiwa ni, Nature ya Ardhi ilivyo, eneo unalojenga (Mkoa, wilaya), Urahisi katika upatikanaji wa materials, ukaribu na ushirikaino wa wataalam unaowatumia pia (kumbuka: Kutumia wataalam kunapunguza sana gharama, hili wengi wetu hatujafahamu hili)

Pia nashauri kupata design mpya hata kama ni kama hyo, ila inafanyiwa marekebisho flan katika eneo husika, yaan design flan inapendeza na kufit vzuri site ile, lakini site hii inafeli, hasa "in terms of functioning especially interiors" mf. uelekeo wa jua, upepo, Mandhari (View) n.k Karibu nipigie tushauriane zaidi, Asante: 0765141027, 0713805750.
 
Kiongozi nimependa sana kazi yako!! Ila Mimi Ni fundi carpenter structure & journal pia scaffoldin.
Kama unahitaji huduma ya scaffolding(majukwaa) formwork zote nafanya finishing Kama aina zote za gpsum board&patision nk
pia nasimamia majengo au jengo iwe umeniuzia au kwa usimamizi wa mafundi.
pia ninao mafundi wakufanya kazi kubwa inayotaka mafundi wengi. tuwasiliane tufanye kazi pamoja ikiwezekana. 0675196845-0682164847

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…