Building Contractors & General Cleanliness

Welcome all!
"A small plot Size, with spacious living space"
watsap/call +255713805750
 
5 Self Bedrooms + Home Office/Library
watsap/call +255713805750
 
Nimeipenda hii. Rough estimate, mtu ajiandae kiasi gani kwa kitu kama hiki. Ni rooms ngapi hii?
5Bedrooms, sasa structure hutofautiana na aina ya eneo lilivyo, upatikanaji wa materials zake, aina ya materials unazotumia nk nk.
kama kila kitu kipo kawaida, yaani hapana hizo "variations", boma pekee yaani mpaka kuezeka tu unaweza tumia 150m (katika usimamizi mzuri). Katika umaliziaji (finishing), ndio hutegemea na mfuko wako, kwasababu ya uchaguzi wa materials, Asante na karibu sana tukuhudumie!
 
Asante kwa majibu na estimate hiyo. Kwa uhakika nyumba ni nzuri. Ila kweli inabidi mtu kujiandaa haswa ukitaka kitu kizuri. Maana niliambiwaga finishing ya nyumba inagharimu almost sawa na gharama ya kujenga boma. Kwa maana hiyo nyumba kama hiyo mpaka ikamilike ni kama 300M. Dah! Ila ipo siku ndoto yangu ya kujenga itatimia. Inaweza isiwe ghorofa kama hilo, lakini nyumba isiyo ya ghorofa lakini nzuri. Nimeanza kuwekeza, na so far niko kwenye 60M. Mdogo mdogo tu na Isnhaalah ipo siku mtaniona ofisini kwenu. Nimependa kazi zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…