JOFREY GEORGE
Member
- Oct 9, 2013
- 8
- 1
Naitwa jofrey george, mwandisi wa majengo, nafanya kazi za kuchora ramani za majengo aina zote, kupiga gharama za ujenzi(bopq), kusimamia ujenzi na ushauri wa kitaalamu kuhusu majengo, mnakaribishwa sana. 0754-085778
hivi...kwa nini siku hizi kila architect anakuja na mbwembwe za 3d drafts zimerembwa zinapendeza..mpe kazi achore detailed plan sasa, madudu matupu! Nimeshawachoka marchitect wa jf!
hahahah mbwembwe za arch cad hizo mkuu hawajua detailed plan ni zaidi ya arch cad na hapo ndo uwezo unaonekana
hılo nı kama tangazo la bıashara na what he can do sıdhanı kama kuna haja ya yeye kuweka detaıled drawıngs hapa au unataka ukauze nın?kama umevutıwa mpe kazı akıfanya ovyo sıuache kumlıpa?
hongera sana mkuu! Wataalam wetu si ndo hawa jamani.....mkuu tunataka uwe msaada kwetu kwa kusaidia mambo muhimu ya kazi yako hiyo!
Hivi ni hatua gani natakiwa kuzifuata ninapotaka kujenga ghorofa? Please
So u need free consultation