Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani.
Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini ushindi wako ulikua bayana mpaka wale waliokata pumzi ilibidi wakuapishe.
Kama uko salama huko ukoko ninakutakia kila la kheri. Karibu nyumbani kama ulikwenda holiday kidogo.