Bujibuji ninakusalimia kwa jina la JamiiForums

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani.

Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini ushindi wako ulikua bayana mpaka wale waliokata pumzi ilibidi wakuapishe.

Kama uko salama huko ukoko ninakutakia kila la kheri. Karibu nyumbani kama ulikwenda holiday kidogo.
 
Yaliyonikuta ni makubwa, Wacha nikupe mkasa kwenye Uzi maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…