Marie Antoinette
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 426
- 412
Baada ya kuwa M23 iliingia mjini Bukavu jana jioni, iliendelea na mambo yake, na leo asubuhi ndo jeshi lake likawasili mpakani,na kukuta pako wazi, baada ya jeshi la serikali na wafanyakasi wa sekta mbali mbali.
Taarifa zilizopo, ni kwamba baada ya uwanja wa ndege wa Kavumu kukamatwa na M23, bunduki nzito zilielekezwa Rwanda. Kwa bahati mbaya, Rwanda kama ilichokifanya Goma, tayari ilishajiandaa kujibu mapigo.
Kwenye video hapo, mwanahabari kutoka Rwanda, anaonyesha picha ya kombola lililodunguliwa na mfumo wa kuzima makombola wa Rwanda. Hivyo, limezimwa kabla halijatua na kusababisha maafa.
Ikumbukwe, M23 ilichelewa kutangaza ushindi wa moja kwa moja mjini Bukavu, baada ya intelijensia yake kuwa na taarifa za wanajeshi wa Burundi, DRC na wazalendo kuwawekea mtego ili wasagwe kweli kweli.
M23 baada ya kuzidaka, haikukurupuka, ikajiandaa na kuwapa wanachostahili. Pichani ni badhi.
View: https://x.com/Mamaurwagasabo1/status/1891087815095558190