Bukavu tayari inashughulikiwa na M23

Bukavu tayari inashughulikiwa na M23

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Chanzo ni ubalozi wa India DRC M23 wapo umbali wa kilomita ishirini kuingia Bukavu.

Hiyo maana yake ni kuwa wapo wanagawa kichapo kwa Burundi na DRC combined na kama kawaida inaonesha kama ilivyokuwa Goma FARDC na majeshi ya hapo Bukavu watavua uniform na kutelekeza silaha kama kawaida yao.

Haya! Nawapa taarifa kwa ambao hawana lakini pia tuendelee kupeana updates hii battle ya Bukavug
 
1738589405520.jpg
 
Habari ya juzi,jana waliwarudisha nyuma,ila fardc walipoteza kamanda wao
 
Kimzaa mzaa yanaenda kutokea kama ya Syria, kinachonishangaza mm mbona raia wa Congo wanawashangilia waasi Kila wanapokutana nao?
 
Back
Top Bottom