Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne.
Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo hayajafamika.
Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo hayajafamika.