Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Kweli, Wachapwe Mijeledi Maana inabidi Wanyamazishwe. Hawana Haki ya Kudai Haki maana Watatusababishia tusipate maaendeleo na Usingizi bure. Chapa Mijeledi wajinga hao. Wakishanyamazishwa, na Sisitutanyamazishwa. Mawe yatatusemea/Haijawahi kutokea ukawanyamazisha wote ni swala la muda tu.Wachapwe mijeledi hao wasiachwe hivihivi. Wajinga mno
Kweli, Wachapwe Mijeledi Maana inabidi Wanyamazishwe.
Unaleta habari nusunusu ili iweje? Makosa ambayo hayajafahamika...ndio nini?Jana usiku walikamatwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne.
Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa mahakamani kwa makosa ambayo hayajafamika.