Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wao vyuma, havijakaza huko?! Ni watu wa Dar wanaenda Bukoba kukamata fursa, au wa Bukoba kwenda Dar kukamata fursa?!
Mi naamini habiria wapo kila sehemu.
hahahaha hamchokagi kabisaLabda wale ambao wanajaxa madaladala kwenda kwao mwishoni
Luambo makadiSa hivi ukitaka kwenda bukoba Kwa ndege book week kabla maana abiria wamekuwa wengi kuliko kiasi mpaka atcl wameongeza safariView attachment 943502
Sisi tunaenda kila siku, Dar _Kahama, Dar _Mwanza ni root kubwa. Hakuna kama hiyo.Waitupe Kilimanjaro na Arusha wapige pesa,Wasukuma hawana tamaduni za kwendaga kwao december