Bukoba kumenoga, abiria wa ndege waongezeka mpaka ruti zimeongezwa

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Sa hivi ukitaka kwenda bukoba Kwa ndege book week kabla maana abiria wamekuwa wengi kuliko kiasi mpaka atcl wameongeza safari
 
Hahaha wao vyuma, havijakaza huko?! Ni watu wa Dar wanaenda Bukoba kukamata fursa, au wa Bukoba kwenda Dar kukamata fursa?!
Mi naamini habiria wapo kila sehemu.
 
Abiria wapo kila sehemu ila sio abiria wa ndege...
Hahaha wao vyuma, havijakaza huko?! Ni watu wa Dar wanaenda Bukoba kukamata fursa, au wa Bukoba kwenda Dar kukamata fursa?!
Mi naamini habiria wapo kila sehemu.
 
16.12.2018 hadi 15.01.2019 siku (30-35) TU wasafiri wa ukanda huo wamepewa nafasi ya kwenda makwao kula sikukuu...natumai na bei zimelegezwa kidogooo
 
Waitupe Kilimanjaro na Arusha wapige pesa,Wasukuma hawana tamaduni za kwendaga kwao december
 
Kwa ajili ya Christmas na mwaka mpya tu
Nafikiri heading ingekuwa hivyo
 
Waitupe Kilimanjaro na Arusha wapige pesa,Wasukuma hawana tamaduni za kwendaga kwao december
Sisi tunaenda kila siku, Dar _Kahama, Dar _Mwanza ni root kubwa. Hakuna kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…