Bukoba: Mahakama yawaachia huru Wanachadema Chief Kalumuna na wenzake

Bukoba: Mahakama yawaachia huru Wanachadema Chief Kalumuna na wenzake

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mahakama imewaachia huru wanachama watatu wa CHADEMA miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana.

Pia soma
 
Yale matokeo ya ubunge Bukoba Mjini yalichakachuliwa, huyo jamaa aliporwa haki yake.
 
#HABARI MAHAKAMA imewaachia huru wanachama watatu wa @ChademaTz miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana https://t.co/1jlFuyQQud
hapo sasa mabango ya kaitiba mpya yashikiliwe.hayapigwi tena moto.wala hamna magar ya washawasha tena
 
Daah! Huyu kamanda alikuwa bado yuko ndani??!!! Jiwe huko aliko afe na kuoza mara milioni moja.

Tulitawaliwa na mtu mwenye faili Milembe....Dkt Diallo.

Kiongozi asiyetaka katiba mpya yuko mbali na wananchi..... Warioba
 
Daima historia ya nchi hii haitawasahau wale wote waliojitolea mhanga kutupigania sisi mabingwa wa kwenye key boards,poleni mno makamanda na familia zenu zipate nguvu tena ili muendeleze mapambano haya,uelekeo sasa ni KATIBA mpya kwa ajili ya watanzania wote sio wateule wachache
 
#HABARI MAHAKAMA imewaachia huru wanachama watatu wa @ChademaTz miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana https://t.co/1jlFuyQQud
Hivi tangu lini CCM mnafurahia uhuru wa wana CDM

Amakweli Lumumba mmevurugwa hamuelewi mfuate upade upi

Habari yako haisismui kwa sababu wewe si katika sisi
 
#HABARI MAHAKAMA imewaachia huru wanachama watatu wa @ChademaTz miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana https://t.co/1jlFuyQQud

Huyu mama Mungu ambariki kwakweli.. 15 tenaaa
 
KILA kitu kitarejea kwenye mstari.

Miezi mitatu tu ya mama wafanyakazi wanafuraha,kalipa malimbikizo yote, madeni yote,kapandisha vyeo na madaraja na kaajiri na mambo yanakwenda. Ambapo yule Bwana kwa miaka 6 alishindwa zaidi ya kujifichia kwenye uhakiki usioisha KILA siku anaomba vyeti Ili masiku yasonge.

Ishi miaka 200 mama kama wanavyoishi watawala wa kiislamu sababu ya roho nzuri ya kuwatendea watu mema.

Maisha yenyewe mafupi hata upambane na watu utaishia kuukimbiza upepo.
 
Back
Top Bottom