Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
hapo sasa mabango ya kaitiba mpya yashikiliwe.hayapigwi tena moto.wala hamna magar ya washawasha tena#HABARI MAHAKAMA imewaachia huru wanachama watatu wa @ChademaTz miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana https://t.co/1jlFuyQQud
Hivi tangu lini CCM mnafurahia uhuru wa wana CDM#HABARI MAHAKAMA imewaachia huru wanachama watatu wa @ChademaTz miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana https://t.co/1jlFuyQQud
#HABARI MAHAKAMA imewaachia huru wanachama watatu wa @ChademaTz miongoni mwao akiwemo Meya wa zamani wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini,Chief Kalumuna waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kufanya fujo na kuharibu mali siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana https://t.co/1jlFuyQQud
Huyu mama Mungu ametuletea .akusudi kabisa...tutamuunga mkonoHuyu mama Mungu ambariki kwakweli.. 15 tenaaa
Una maoni gani sasa wewe mataga?Asante, safari ya Katiba Mpya iendelee!