Inauzi sana, nilienda tokyo nikakuta mzee wangu aliyebaki kakati nusu yote migomba ya zamani na miti ya maparachichi.nikimuuliza anasema walishauriwa na wachina.🤔
Inauzi sana, nilienda tokyo nikakuta mzee wangu aliyebaki kakati nusu yote migomba ya zamani na miti ya maparachichi.nikimuuliza anasema walishauriwa na wachina.[emoji848]
Na ndio maana migomba inapotea maana dini hiyo ikija tegemea utamaduni wa jamii husika kupotea mfano lugha,angalia sehemu uliko shamiri ndizi,parachichi vitamezwa na tende!